Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize amchana Kajala 'tafuta bwana hata mganga wa kienyeji'

KONDE KACHARUKA Harmonize amchana Kajala 'tafuta bwana hata mganga wa kienyeji'

Thu, 10 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kama ulikuwa mbali na ule waraka wa jana alioutoa Harmonize, tunakusogezea mambo mbalimbali ambayo yamejiri.

Katika mengi yaliyojiri ni pamoja na hili la Harmonize kumwambia Kajala atafute bwana hata mganga wa kienyeji.

"Tafuta bwana mzee mwenzio hata mganga wa kienyeji aliyezehekazeheka (aliyezeeka zeeka) acha kubishana na watoto online na kujitia moyo, usikute anajua pengine anaweza kukutana na bango la take me back," aliandika Harmonize.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live