Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Harmonize alinikatisha tamaa" - Young Tuso

Kiiii "Harmonize alinikatisha tamaa" - Young Tuso

Thu, 22 Jul 2021 Chanzo: eatv.tv

Mfalme wa Temeke Young Tuso amefunguka kusema Harmonize alimkatisha tamaa baada ya ku-date na staa wa filamu Jacqueline Wolper kwa sababu hata yeye alitamani kuwa naye kwenye mahusiano.

Submitted by Shaluwa Anta on Jumatano , 21st Jul , 2021 Picha ya Young Tuso na Harmonize

Young Tuso ambaye alishamuandikia hadi wimbo Jacqueline Wolper wa kumsifia na kumshawishi kuwa naye kwenye mahusiano anasema mwanzo alidhani Harmonize na Wolper wanatania ila baadae ikawa serious.

"Ilivyofika suala la Wolper kuwa na mahusiano na Harmonize ilikuwa KO kubwa kwangu, nilijia watu wanamtengeneza Harmonize awe mkubwa kwa kipindi kile ila ilinichanganya k uona Wolper kaenda hadi kusini kwa Konde Boy mara anapika na mama yake Harmonize nikaamini wapo serious"

"Konde Boy alinikatisha sana tamaa kwenye movement zangu za kumpata Jacqueline Wolper, roho ilikuwa inaniuma na kunichanganya sana" ameeleza Young Tuso

Zaidi fuatilia hapo chini kwenye video akizungumzia hilo.

Chanzo: eatv.tv