Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize akoshwa na kauli ya Esma, ampa tano! - VIDEO

ESMA NA HARMONIZE Harmonize akoshwa na kauli ya Esma, ampa tano!

Mon, 7 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Dada wa @diamondplatnumz, @_esmaplatnumz kuingia Instalive na kumwaga sifa kwa wanaume wa Kimakonde kuwa hawana tabia za kulelewa na wanawake bali wao hupenda kuwatunza wanawake zao, basi kauli hii imemkosha mmakonde @harmonize_tz

Kupitia akaunti yake ya Instagram @harmonize_tz amepost video hiyo kwenye Instastory na kuisindikiza na ujumbe uliosomeka "She Said It All!!!Mnafeli Wapi Dada Zetu"

Vipi kwani kuna mtu ana wasiwasi na @harmonize_tz kwenye suala la kumtunza mpenzi wake?

View this post on Instagram

A post shared by Infotainment Chamber (@rickmediatz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live