Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize ajipa maua yake mwenyewe

Harmonize Single Aagain Harmonize ajipa maua yake mwenyewe

Tue, 31 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa muziki Harmonize ameshare Top 20 ya ngoma za afrika zilizopenya zaidi kwenye mtandao Spotify Africa ambapo ngoma yake ya Single Again ni moja ya ngoma zilizo kwenda Viral na kusema kuwa bado anaendelea kuwakilisha Game ya Afrika mashariki.

Staa wa muziki Harmonize ameshare Top 20 ya ngoma za afrika zilizopenya zaidi kwenye mtandao Spotify Africa ambapo ngoma yake ya Single Again ni moja ya ngoma zilizo kwenda Viral na kusema kuwa bado anaendelea kuwakilisha Game ya Afrika mashariki. Mbali na hivyo, staa huyo amefunguka kuwa sio mtu anaependa kushare post hizo lakini muda mwingine inambidi afanye hivyo ili kuonesha kuwa Afrika Mashariki pia ipo kwenye ramani kwani hakuna mwingine atakayeweza kushare kwa sababu ngoma yake tu ndio ipo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live