Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize aingia studio na Jay Melody

Harmonize Jay Melody Harmonize aingia studio na Jay Melody

Fri, 17 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Harmonize ameweka clip mbili zikimuonyesha msanii mwenzake Jay Melody moja akiimsifia na nyingine Jay Melody akiwa studio akirekodi.

Huenda siku sio nyingi tukashuhudia collabo ya Harmonize na Jay Melody.

Unatamani watoe Remix au watengeneze ngoma nyingine?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live