Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize afuta tattoo ya Kajala

Kajala Na Harmonize New Harmonize afuta tattoo ya Kajala

Thu, 23 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Muziki Rajabu Abdul 'Harmonize' ameonekana akiwa amefuta Tattoo ya Picha ya aliekuwa Mpenzi wake Kajala Masanja na mtoto wake wa kufikia Paulah aliokuwa amechora kwenye mguu wake wa kulia.

Staa wa Muziki Rajabu Abdul 'Harmonize' ameonekana akiwa amefuta Tattoo ya Picha ya aliekuwa Mpenzi wake Kajala Masanja na mtoto wake wa kufikia Paulah aliokuwa amechora kwenye mguu wake wa kulia. Kupitia video alioishare katika ukurasa wake wa Instagram akiimba Wimbo wake mpya wa Single Again ukitazama vizuri katika mguu aliokuwa amezichora, sura hizo kuna Tattoo nyingine ameichora juu yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live