Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize afungukia ugomvi wake na DJ Seven

Harmonize Na Seven DJ Harmonize afungukia ugomvi wake na DJ Seven

Sun, 7 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mara ya kwanza Staa wa muziki Harmonize amefunguka kuhusu sakata linaloendelea baina yake na aliekuwa Dj wake DJ Seven.

Kupitia instastory ya Harmonize amedai kuwa sio kweli amemchukua mwanamke wa Dj Seven licha ya kuwa na tamaa ya wanawake wenye makalio makubwa.

"...hata nice na tamaa vipi siwezi shea na ndugu hata kama kweli napenda mizigo," aliandika Harmonize kwenye Instagram.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live