Menu ›
Burudani
Sun, 20 Aug 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Harmonize amesema kwamba, wasanii kwenye lebo huwa wanapewa magari kwa masharti na si kuyamiliki jumla.
Harmonize ameyasema hayo Agosti 18, 2023 alipokuwa akifanyiwa mahojiano na Clouds FM nyumbani kwake, Salasala jijini Dar.
"Ukiona Msanii wa Ndani ya Lebo anamiliki gari sio kwamba amepewa jumla na Lebo muziki wa Tanzania haulipi hivyo bali hupewa kwa ajili ya kurahisisha vitu na Brand, Hata mimi gari langu la kwanza nilikopeshwa na Lebo Milioni 18 sasa watu wanabadilisha kuwa Msanii akitoka kwenye Lebo anakuwa amenyakuliwa gari," alisema Harmonize.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live