Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize afunguka ishu ya zima taa na Paula "Tulianza 2017"

Paula Na Harmonize Harmonize afunguka ishu ya zima taa na Paula

Thu, 10 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Supastaa wa Bongo Fleva, Harmonize anasema kuwa mtoto wa Kajala Masanja, Paula kajala ndio aliyeanza kumtongoza tangu mwaka 2017.

Harmonize amesema kuwa, sakata la zima taa na kuonyeshana nyeti alishangaa kuvuja kwa sababu yeye na Paula walianza kuongea na kupigiana simu za namna ile kabla hata ya kuwa na mahusiano na mama yake ambaye ni Kajala.

"Kwa kipindi kirefu sana nimezipokea lawama zakuonekana nimtu asie na mwenye tamaa. Alie mtongoza mtoto wa dem wake nilikubali lawama zote zije kwangu sikuelezea chochote almost miaka 4 kwa kulinda heshima ya mtuu niliewahi kuwa nae.

"Lakini pia kwakutambua yeye na mzazii pengine itamuumiza zaidi akijua ukweli wa mambo, lakini kwa kuwa ameona kunidhalilisha na kunifanya nionekane sio mwema hakutoshiii kafikia kuniita chizii sasa wacha nielezee uchizi wangu kaa na bint akuelezee vizuri kwanini ananichukia kama anavyosema (I hate him)"

"Kiukweli kabisa hanichukii, 2017 linitafuta kupitia mdogowake wakiume Pol wa baba mmoja alinimbia my sister she wanna talk to you. This is her Instagram nikusaidie tuu.

"Binti yupo Instagram tangu 2017 mimi na machizi wenzangu tunajua, we unajua kaanza mwaka juzi niliongea nae na akinipa number yake and usimwambie mama nyingi mno sikumzingatia.

"Pia, alikuwa mtoto sana na ukizingatia alikuwa bado shule. Baada ya miaka miwili anarudi shule anakuta penzi limekolea tuiiiii, nakujali nakuhudumia kila unachotaka nakupatia na hata yeye pia nampa atŠ°kacho kama binti yangu akaanza kuumia why this.

"Alitamani awe yeye alianza ask for more money nilimuheshim sana mpaka pale nilipokuja kugundua kwamba mabwana zako wote ulikuwa unaongea nao kupitia yeye binti yako ukiwa unajua kabisaaa hata nikishika simu yako siwezi kwenda kwenye chat zenu.

"Mimi ni mtu mwenye busaraa na nafahamu nyinyi ni wanawake muda mwingine mnaongea vitu binafsi baada ya kugundua kumbe nyinyi ni marafikii tuuu na mnanichoraaa ikabidi nianze kumjibu kwa nguvu zote.

"Kwa hiyo hata swala la zima taaaaaa nashingaa tu sikuile ilikuwaje ikiwa tulishaongea mara kibao tu maongezi ya namna ile, naendelea kulewa #chizi," amesema Harmonize.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live