Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize afanya balaa huko!

Harmo187120 Harmonize afanya balaa huko!

Sun, 26 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Siku ya juzi Februari 24 mjini Moshi ilikuwa ni ufunguzi wa Kili Marathon 2023 ambapo hufanyika burudani ya siku 3 mfululizo, na miongoni mwa wasanii walionogesha jukwaa la Kili Dome ni Msanii @harmonize_tz.

Harmonize hajaishia kwenye jukwaa la Kili Dome, bali amewaahidi wakazi wa moshi kuwabeba mwilini mwake kwa kuchora tattoo ya mlima Kilimanjaro kutokana na love waliompa kwenye show aliyoifanya hapo jana.

Ikumbukwe hivi karibuni msanii huyo alifuta tattoo iliyokuwa kwenye mguu wake wa kushoto aliyochora sura ya aliyekuwa mpenzi wake, @kajalafrida pamoja na mwanaye.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live