Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize abeba tuzo tatu Marekani

IMG 6272 Harmonize.jpeg Harmonize

Sun, 12 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Usiku wa kuamkia leo nyota Harmonize ameibuka mshindi wa tuzo tatu huko Marekani zinazofahamika kama ‘AEAUSA’

Harmonize ameibuka kidedea katika vipengele vitatu ambavyo ni;

- Artist of the Year

- Best Music Video (Single Again)

- King of East Africa and Bongo Flavour

Toa neno la pongezi kwa msanii huyo

Chanzo: www.tanzaniaweb.live