Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize: Wamezuia mapato ya Ibraah

Ibrah Harm Harmonize: Wamezuia mapato ya Ibraah

Wed, 9 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Leo CEO wa Konde Gang, Harmonize akijibu swali la Shabiki kuhusu kwanini @ibraah_tz Yupo Kimya, hatoi Wimbo Mpya Amefunguka Kwamba Kuna tatizo Ibraah anapitia.

Mapato yote ya Ibraah yamezuiliwa ila Serikali inafanyia kazi Jambo hili.

Harmonize ameweka wazi kwamba hivi karibuni Ibraah ataachia Wimbo na Yeye Binafsi ni Shabiki mkubwa wa Ibraah.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live