Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize: Video ya Single Again Remix imegharimu Mil. 70

HARMONIZE ORODHA Harmonize: Video ya Single Again Remix imegharimu Mil. 70

Sat, 19 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Bongo Fleva Rajabu Abdul 'Harmonize' ameweka wazi kuwa ametumia takriban shilingi milioni 70 kushuti Single Again Remix.

Harmonize amefunguka hayo mapema hii leo alipokuwa akifanyiwa mahojiano ya moja kwa moja na Clouds FM nyumbani kwake Salasala jijini Dar.

Wimbo huo ambao amemshirikisha Ruger, ameuachia mapema Agosti 18, 2023 na tayari unakimbiza kwa kutazamwa huko mjini YouTube.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live