Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize: Taifa linahitaji mchango wangu

Harmonize Ni Mdogo Wangu Kiumri   Rayvanny Harmonize: Taifa linahitaji mchango wangu

Thu, 23 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize amedai kuwa Taifa linahitaji mchango wake mkubwa ili kutimiza ndoto za Watanzania wengi.

Harmo ambaye ametoka kukomba tuzo tatu za AEAUSA nchini Marekani, amesema kuwa hii ni pamoja na kuwaona wasanii wa Bongo wakijaza viota mbalimbali vya burudani nje ya nchi kama wanavyofanya Wanigeria.

"Nimeamua kuupa muziki wangu nafasi kubwa na ya kipekee, suala la mahusiano nimeliweka pembeni kabisa mpaka nihakikishe Bongo Fleva imefika ninapo paota."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live