Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize: Sijajua kama Diamond naye alishinda Tuzo za AEAUSA

Harmonize: Sijajua Kama Diamond Naye Alishinda Tuzo Za AEAUSA Harmonize: Sijajua kama Diamond naye alishinda Tuzo za AEAUSA

Tue, 21 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Muziki Harmonize amefunguka kuhusu Tuzo ya #Aeausa aliyoshinda Staa #DiamondPlatnumz na kusema kuwa hajajua kama Staa huyo nae alishinda Tuzo hiyo kwani yeye alikuwa Backstage akijiandaa na kutumbuiza hivyo hakusikia kama ametajwa.

Akiwa katika mahojiano na #Efm , Harmonize amesema..

"Kiukweli wakati tuzo zinaanza kutolewa mimi nilikuwa Backstage nikijiandaa kuperform kwahiyo kama alitajwa mimi sikujua"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live