Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize: Sh milioni 20 ni pesa ya kulewa bia

Harmonize Srtys (1) Harmonize: Sh milioni 20 ni pesa ya kulewa bia

Tue, 31 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Konde Music, Harmonize amesema fedha anazotumiwa kuwanunulia magari wapenzi wake hadi ya zaidi ya Tsh20 milioni, ni zile zake za kunywa bia.

Harmonize amesema fedha hizo hazihusiani na mapato ya Lebo yake ya Konde Music Worldwide.

Kauli yake inakuja baada ya kuulizwa kwa nini anaohonga magari ya thamani kubwa wakati lebo yake wasanii wake hawatoi kazi kwa wakati.

Ikumbukwe kuwa, Harmonize amewahi kumhonga aliyekuwa mpenzi wake, Kajala Masanja magari mawili aina ya range Rover yenye thamani ya zaidi ya Tsh milioni 360 kila moja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live