Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize: Sasa nina furaha sana

Harmo Na Kajala Jk.jpeg Harmonize na Kajala

Mon, 23 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Harmonize au Konde Boy; ni supastaa wa muziki nchini Tanzania ambaye anasema kuwa, kwa sasa ana furaha sana ambayo itaenda kubadilisha hata muziki wake.

Kupitia Insta Story yake, Harmonize anasema; “Mungu ni mwema, sasa nina furaha sana, sasa ngoja uone muziki ninaokwenda kudondosha…”

Je, Jeshi amefanikiwa kulirudisha penzi la mtoto wa Masanja, Kajala Masanja maana hicho ndicho kilichomkosesha furaha kila siku?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live