Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize, Poshy Queen warudisha picha zao Instagram

Harmonize, Poshy Queen Warudisha Picha Zao Instagram Harmonize, Poshy Queen warudisha picha zao Instagram

Thu, 15 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Bongo Fleva Rajabu Abdul 'Harmonize' na Mpenzi wake Poshy Queeen wamerudisha picha na video walizokuwa pamoja katika akaunti zao za Instagram ambapo hapo awali walizi archive.

Staa wa Bongo Fleva Rajabu Abdul 'Harmonize' na Mpenzi wake Poshy Queeen wamerudisha picha na video walizokuwa pamoja katika akaunti zao za Instagram ambapo hapo awali walizi archive. Mapema hii leo, wawili hao kila mmoja alifuta picha za mwenzake na pia kufutana urafiki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live