Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize: Nimetapeliwa Bilioni 7

Harmonize ,Zuzuuuu Harmonize: Nimetapeliwa Bilioni 7

Mon, 6 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa muziki kutoka Tanzania, Rajabu Abdul Kahali, Maarufu kama harmonize amefunguka kuwa alikuwa ana mpango wa kufungua media lakini ametapeliwa Bilion 7 na tayari ameshapeleka malalamiko serikalini na wanalifanyia kazi.

Msanii wa muziki kutoka Tanzania, Rajabu Abdul Kahali, Maarufu kama harmonize amefunguka kuwa alikuwa ana mpango wa kufungua media lakini ametapeliwa Bilion 7 na tayari ameshapeleka malalamiko serikalini na wanalifanyia kazi. " ah nilikuwa na Mpango wa kufungua media lakini nimetapeliwa Bilioni 7 na mpango wangu ukawa umeishia hapo ila teali nishapeleka malalamiko serikalini na asaivi wanalifanyia kazi, lakini pia kwasasa najichanga changa na bado ninandoto na inshallah ipo siku nitafungua ." Amesema Harmonize

Chanzo: www.tanzaniaweb.live