Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize: Niliambiwa nitoe nyimbo mbili tu mwaka WCB

Sd Harmo Gl Harmonize: Niliambiwa nitoe nyimbo mbili tu mwaka WCB

Tue, 28 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya Konde Music World Wide, Rajabu Kahali 'harmonize' amesema kuwa alipewa masharti ya kuachia nyimbo mbili tu kwa mwaka na uongozi wa iliyokuwa lebo yake ya Wasafi WCB iliyo chini ya Diamond Platnumz.

Harmonize amesema hayo wakati akihojiwa na chombo kimoja cha habari nchini ikiwa ni miaka kadhaa sasa imepita tangu ajiondoe WCB baada ya kutofautiana na uongozi wa lebo hiyo kisha naye kuanzisha lebo yake.

“Nishakuwa msanii chini ya Record Label na nishakuwa CEO wa Label. Najua msanii anavayokuwa anahitaji kitu gani au kitu gani hakipendi”

“Mkataba wangu na wasafi ulikuwa unaniambia nitoe project 2 lakini nilikuwa natoa nyimbo nyingi it doesn’t matter kama nilikuwa nalipa amesema Harmonize.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live