Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize: Nikifa leo watanizungumza kama Kanumba

HARMONIZE SDF Harmonize: Nikifa leo watanizungumza kama Kanumba

Tue, 15 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Harmonize anasema acheni kujificha, jitokezeni na mlitaje Jina lake kwenye orodha ya vinara wanaofanya vizuri kwenye muziki kwa sasa nchini.

Kupitia insta story yake jana amejifananisha na marehemu Kanumba, Mwigizaji aliyeacha alama kwenye tasnia ya filamu nchini.

“Hivyo kama nikifa leo, kila mmoja atazungumza kuhusu mimi kama ambavyo wanazungumza kuhusu Kanumba. Nipe heshima yangu.

"Nataka nione upendo wenu, acha kuficha ficha ukweli, hakuna anayeweza kufanya kwenye uwezo huu.” ameandika Harmonize.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live