Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize: Naheshimu mpango wa Mungu, sipo single

Harmonize One Twooo Harmonize: Naheshimu mpango wa Mungu, sipo single

Tue, 14 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul 'Harmonize' amefunguka kuwa, anaheshimu mpango wa Mungu wa yeye kuwa single hivyo hamlaumu mtu kwa yaliyotokea.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Harmonize ametupia ujumbe mashabiki wake wa kuwatakia Valentine njema na kueleza kwamba alitamani hata yeye siku ya leo kuwa na mpenzi wake, wabusiane kama ambavyo wengine hufanya lakini hilo halipo kutokana na mazingira yaliyotokea.

Harmonize amesema hatua hiyo ya kuwa single inamtokea mtu yeyote na anachukulia kama usipokuwa single kwenye maisha yako basi hujakua bado.

"Happy Valentine Guy’s issa Special Day !! ❤️❤️ Trust me my dream was 2B one of You !!! Staying in beautiful places, kissing, and hugging each other just like some of you doing it right now But wen You Have Plans remember GOD HAS THE BEST PLANS I will never ever blame anyone. I’m taking it as World nature I thank God & Everyone Around Trust me if You Never ever been Single ❤️‍???? Your not Matured enough YESS IM SINGLE & ACCEPTED ???? I made this for Everyone who is going through the same situation IM HERE TO SHARE WITH YOU MY TRUE STORY LINK ON BIO ????‍♂️ @djtarico_yababuluku ❤️ Hey!!! My my Single ????‍♀️????‍♀️ Where they are SINGLE BOYS."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live