Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize: Hii ni Albamu yangu ya mwisho

Harmonize Tz 1690451880406.jpeg Harmonize

Mon, 20 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwimbaji Star Harmonize amezungumza na waandishi wa Habari Leo hii kuhusu ujio wa tukio lake kubwa analotarajia kufanya tarehe 25 katika kumbi za Mlimani City ambapo atazindua album yake ya tano aliyoipa jina la Muziki wa Samia akiwa na lengo kupongeza na kusuport harakati za Rais Samia…

Mwimbaji Star Harmonize amezungumza na waandishi wa Habari Leo hii kuhusu ujio wa tukio lake kubwa analotarajia kufanya tarehe 25 katika kumbi za Mlimani City ambapo atazindua album yake ya tano aliyoipa jina la Muziki wa Samia akiwa na lengo kupongeza na kusuport harakati za Rais Samia… Album yangu ya mwisho baada ya hii na kusema ameimba sana kuliko kawaida na ametengezeneza nyimbo 10 ambazo zote zinamlenga Rais Samia hivyo baada ya hii album atahitaji kupumzika na kurefresh huku akiwa anaachia wimbo mmoja mmoja na sio album tena… na utakuwa ni Usiku wa mialiko na hakutakuwa na viingilio

Chanzo: www.tanzaniaweb.live