Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize: Burna Boy namba moja Afrika

Harmonize Na Burna Boy Harmonize: Burna Boy namba moja Afrika

Wed, 12 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize, ameonekana kumpigia saluti mkali kutoka Nigeria Burna Boy kwa kumpa namba moja Afrika.

Kutoka kwenye inststory ya Harmonize, amedondoka na na ujumbe huo wa kwamba Burna ndiye msanii namba 1 Afrika.

Harmonize ameshare picha ya Burnaboy akiwa Studio na kuisindika na maneno haya..

"PROUD OF YOU AFRICAN NUMBER ONE"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live