Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize: Bora nipigwe na mchumba wangu ila sio Mwakinyo

Harmonize Mwakinyo Zzz Harmonize na Mwakiny.

Wed, 27 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Harmonize amemtambia bondia Hassan Mwakinyo kuwa ni heri apigwe na mpenzi wake ila sio yeye, Katika charts zao za instagram alimjibu bondia huyo kuwa

"Bora nipigwe na mchumba angu sio wewe Hassaniā€ - Harmonize

Hii imekuja baada ya Harmonize kusema kuwa yupo tayari kupambana na bondia yeyoye Professional kwa Tsh milioni 255 na bondia Hassan Mwakinyo amesema yupo tayari kumvaa Harmonize ulingoni.

Je, Nani unadhani atampiga mwenzake?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live