Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize Atangaza Kuja na Wimbo wa Injili

Harmoo Harmonize Atangaza Kuja na Wimbo wa Injili

Sat, 5 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutoka Insta story ya CEO wa record label ya KondeGang @harmonize_tz ametangaza rasmi ujio wa remix ya wimbo wa dini /gospel kutoka kwa mwanamuziki wa nyimbo za injili Jane Misso 'Omoyo'

KondeBoy amethibitisha hilo muda mchache baada ya kumvaa mwimbaji wa nyimbo za injili Goodluck Gozbert kwa tafsiri ya kutomzungumzia vizuri juu ya matamanio yake ya kufanya muziki huo wa injili.

Mbali na hayo @harmonize_tz ambae ni muumini wa dini ya kiislam ameeleza kuwa yeye ni bado ni muumini wa dini ya kiislamu na ataendelea kuwa na upendo kwa watu wa dini zote bila kujali utofauti wa imani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live