Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize: Anjella wamemshika akili

Harmonize Anjella Msa Harmonize na Anjella

Mon, 14 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii @harmonize_tz ametupa majibu kwa waliokuwa wasanii wake @officialcheed @officialkilly_tz na @anjella_tz kuondoka Kondegang baada ya kuimba kwamba haikuwa riziki kwa wasanii hao.

Kupitia wimbo wa Champion Remix ya msanii wa HipHop @kontawaa Harmonize amesikika akiimba

"Piga muziki tumebaki wawili haikuwa riziki kwa wanangu Cheed na Killy, Sister Anjella wamemshika akili waambie Kondegang ni jeshi la mtu mbili".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live