Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmomize amnunulia Range mpya Kajala

Kajala Harmo Hj Harmomize amnunulia Range mpya Kajala

Thu, 14 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni headlines za mwanamuziki Harmonize ambae bado ameendelea kuweka wazi juu ya kuhitaji msamaha kwa aliyekua mpenzi wake Kajala Masanja ambapo safari ameamua kununua gari aina gari aina Range Rover ikiwa na plate namba zenye jina lake Kajala 1, kama njia ya kuendelea kumuomba msamaha.

Kupitia ukurasa wake wa instagram Harmonize ameshare sehemu ya video ikionesha gari hilo na kuandika maneno ya kuomba msamaha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live