Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Happyness: Beka ni baba bora

FB IMG 1663250030676 Happyness: Beka ni baba bora

Thu, 15 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanadada anayefanya vizuri kwa sasa kwenye series mbalimbali Bongo Happyness Tarimo '@happiee_reuter1' amefunguka kuwa baba wa mtoto wake ambaye ni msanii Beka Flavor ni mtu mwema na anaonyesha umakini sana kwenye malezi ya mtoto wao.

Mwanadada anayefanya vizuri kwa sasa kwenye series mbalimbali Bongo Happyness Tarimo '@happiee_reuter1' amefunguka kuwa baba wa mtoto wake ambaye ni msanii Beka Flavor ni mtu mwema na anaonyesha umakini sana kwenye malezi ya mtoto wao. "Tumekuwa na tofauti nae ila bado anaonyesha mapenzi na umakini kwenye malezi ya mtoto wetu, ni baba mzuri sana," amefunguka Happyness.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live