Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hanscana anavyokerwa na wasanii wa kike

Hanscana One.jpeg Hanscana

Sun, 16 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muongoza wa video maarufu Bongo, Hanscana amesema kuwa miongoni mwa mambo yanayomkera kwenye kazi yake ni wasanii wa kike kushindwa kufuata ratiba wakati anapofanya nao kazi.

#Hanscana amesema kuwa kitendo cha wasanii kuchelewa location hua huwa inamkera kinoma noma na mara nyingi hiyo inatokea Kwa wasanii wa kike.

"Ukimwambia Njoo saa 4 anakuja saa 8, yaani akikuambia Yupo Kwenye Make-up basi utasubiri masaa 7," amesema Hanscana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live