Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hanscana amtambulisha msanii mpya!

HANSCANA Hanscana amtambulisha msanii mpya!

Tue, 7 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Direkta wa video za wasanii, Hanscana, amemtambulisha msanii mpya kwenye gemu na kuwaomba mashabiki wamuunge mkono kwani ana kipaji.

Hanscana amesema, ni utaratibu wake wa kuwainua wasanii wachanga.

"Ndugu zangu Watanzania na mimi huwa najitahidi kila mwaka nimshike mkono japo msanii mmoja na nimpe full support kadri niwezavyo nae apate nafasi ya kuonesha uwezo wake ili kukuza kiwanda cha muziki tanzania maana tusipo supotiana sisi kwa sisi hatumkomoi mtu bali tunajididimiza sisi wenyewe na kutengeneza future mbaya so kwa mwaka huu namleta kwenu @fabi_africa please naomba support yenu huyu kijana ana uwezo sssssana mpeni sikio tu. Kazi yake mpya hio link kwenye bio yangu."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live