Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hanscana amlilia Director Khalimandro

Khalimandro Khalfani Khalimandro.

Mon, 6 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtayarishaji wa video za muziki "Dir Hanscana" amemlilia Marehemu Khalfani Khalimandro ambapo amesema Khalfani ndio chanzo cha yeye kukua kisanaa.

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Hanscana amesema; "Ulishoot video ukaedit mwenyewe then ukaandika jina langu, Watu wakajuwa mimi ndio Director, Tokea hapo ndio HANSCANA ikazaliwa," amesema Dir Hanscana.

Mwili wa Marehemu Director Khalfani amezikwa leo jijini Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live