Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hamisi BSS: Sina tatizo na Harmonize

HAMISI BSS NA HARMONIZE Hamisi BSS: Sina tatizo na Harmonize

Wed, 26 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshiriki wa Shindano la BSS, Hamisi BSS amesema hana na hajawahi kuwa na bifu na staa wa Bongo Fleva Harmonize.

Akizungumza na Rick Media hivi karibuni, Hamisi alisema, watu wanaweza tu kuzungumza jambo kulingana na mawazo yao lakini ukweli hajawahi kuwa na tatizo lolote na Harmonize.

"Yule ni kaka yangu, amenitangulia kwenye muziki. Ni mtu ambaye namtazama anisaidie, kwa nanma yoyote ile si tu kunisaini Konde Gang bali hata kwa ushauri na mambo mbalimbali ya kunisogeza mbele kimuziki," alisema Hamisi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live