Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hamisa kuelekea Dec 21 Uganda “Hakuna unachoweza badilisha kabiliana nalo”

369 Screen Shot 2017 12 19 At 12.05.54 PM 660x400.png TZW

Tue, 19 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

Zari the boss lady ambaye ni mpenzi na mama watoto wake Diamond Platnumz ametangaza kuwa siku ya December 21,2017 atafanya party yake ya “Zari All White Party” nchini Uganda ambapo ni desturi yake kufanya party hii kila mwaka.

Kupitia  instagram account ya Hamisa Mobetto ambaye pia ni mzazi mwenzake Diamond Platnumz ameahidi pia kufanya party nchini Uganda Decemeber 21,2017 siku moja na Zari the boss lady tofauti ni venue tu.

Baada ya Hamisa Mobetto kupost video katika ukurasa wake wa instagram na kuandika caption inayosomeka “Hakuna unachoweza badilisha

Kabiliana nalo..!

Chanzo: millardayo.com