Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hamisa Mobetto nae aja na lipsticks

1571 Screen Shot 2018 01 19 At 1.10.47 PM 594x400.png

Fri, 19 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Baada ya ukimya wa mrembo Hamisa Mobetto  katika mitandao ya kijamii  ameamua kurejea na maswali kwa baadhi ya mashabiki baada ya kupost picha za tangazo za rangi za midomo(lipsticks) katika ukurasa wake wa instagram na wengi kujiuliza kama ana mpango wa kuja na lipsticks zake.



Hamisa Mobetto ameandika “itakujia hivi karibuni, nafanya kazi kwa bidii na ukimya” 5 FACES OF HAMISA by CHARMED BEAUTE

Je tutegemee kupata lipsticks kutoka kwa Hamisa Mobetto kwa mwaka huu 2018? Kupata majibu hayo endelea kukaa karibu na Ayo Tv na millardayo.com tutamtafuta Hamisa Mobetto ili kuzungumzia suala hilo.

TBT Video: Shabiki alivyopigana na mabaunsa kisa Diamond

Chanzo: millardayo.com