Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hamisa Mobetto na Zari warushiana vijembe? Tembo vs Mbu

547 Screen Shot 2017 12 22 At 3.54.33 PM 660x400.png TZW

Sat, 23 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

Usiku wa kuamkia leo kwenye jiji la Kampala Uganda kulifanyika Party mbili ambapo moja Hamisa Mobetto alihudhuria inaitwa Gal Power na nyingine ni ya Zari All White Party.

Sasa baada ya kumalizika kwa party hizo maneno ya Mashabiki yakaanza wengine wakiponda ya Zari na wengine wakiponda ya Hamisa kwamba ilikua na watu wachache.

Wao wenyewe wameandika vitu kwenye Snapchat zao na ikaonekana kama ni vijembe ambapo Zari ndio alianza kwa kuandika “Kuna tofauti kati ya Tembo na Mbu” ambapo Hamisa alijibu kwa kuandika “Tembo hana madhara sana kwa Binadamu ila mbu….. kila siku watu wanalazwa”

FULL VIDEO: ZARI ALL WHITE PARTY UGANDA 2017 ITAZAME HAPA CHINI KWENYE HII VIDEO

FULL VIDEO: PARTY YA HAMISA MOBETTO UGANDA ( GAL POWER 2017 ) ITAZAME HAPA CHINI

Chanzo: millardayo.com