Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hamisa Mobeto afunguka madai ya kugombana na mpenzi wake

Mobeto Pic Data Hamisa Mobeto afunguka madai ya kugombana na mpenzi wake

Fri, 29 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamitindo Hamisa Mobeto amefungukia madai ya kugombana na mpenzi wake kwa kusema sio kweli isipokuw alikuwa na huzuni alipoondoka nchini.

Mobeto alisema, alishindwa kuposti wakati anaondoka kwa sababu ya huzuni aliyokuwa nayo na si kwamba waligombana kama maneno ya watu.

"Sijagombana naye, nilikuwa na huzuni. Nitakuja kuwapostia tu lakini kwa kweli nilikuwa na huzuni tu wakati anaondoka," alisema Mobeto.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live