Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hamisa Kafunguka gari mpya aliyojinunulia na madili aliyopata mwaka huu

A229E3DD 2B5F 48EA 97B6 F1F241E55117.jpeg Hamisa Kafunguka gari mpya aliyojinunulia na madili aliyopata mwaka huu

Tue, 22 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Mrembo Hamisa Mobetto Hamisa Mobetto amezungumza baada ya kuongezewa mkataba wa Dili lake la nywele alilokuwa Balozi kwa zaidi ya miaka miwili, mwaka huu ni mwaka mwingine wa ushindi wa Hamisa ambae amesaini madili zaidi ya matatu.

Kuhusu wanaohoji gari lake aina ya Prado, amesema amelinunua kwa pesa zake mwenyewe na aliuza gari lake la zamani aina ya Vanguard na kuongezea pesa.

Bonyeza Play hapa chini kwenda kutazama FULL STORY

ISIKUPE HII!!! Alichozungumza Hamisa kuhusu Tanasha, Diamond na Zuchu.

Chanzo: millardayo.com