Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hamis BSS afunguka kuvaa nguo za mpenzi wake

Hamis Wa BSS Hamis BSS afunguka kuvaa nguo za mpenzi wake

Wed, 1 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva, Hamis wa Bss amesema sababu ya yeye kuvaa nguo ya mpenzi wake mzungu ambaye ndo yupo naye kwenye mahusiano kwa sasa.

Msanii wa Bongo Fleva, Hamis wa Bss amesema sababu ya yeye kuvaa nguo ya mpenzi wake mzungu ambaye ndo yupo naye kwenye mahusiano kwa sasa. "Unajua unapokuwa na mpenzi bwana lazima umsikilize na mapenzi ni kusikilizana, unajua yeye akisema kitu nifanye mi ni nani wa kupinga, na sidhani kama kuna mtu anaweza kumpinga mzungu, ukiwa naye kwenye mahusiano sababu mi ndo msanii mwenye mahusiano na mzungu, nimekamatika kwa mzungu." amesema Hamis wa Bss.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live