Mwanamuziki na mwigizaji Mimi Mars, afya yake inazidi kuimarika kwani tayari ameruhusiwa kutoka Hospitali na kuelekea nyumbani baada ya kupata ajali ya gari zaidi ya wiki mbili zilizopita.
Mwanamuziki na mwigizaji Mimi Mars, afya yake inazidi kuimarika kwani tayari ameruhusiwa kutoka Hospitali na kuelekea nyumbani baada ya kupata ajali ya gari zaidi ya wiki mbili zilizopita. Taarifa za afya yake zimethibitishwa na Dada yake Vanessa Mdee baada ya kushea video zinazomuonesha wakiwa pamoja wakicheza karata alipo kuja Dar es salaam kwa muda mfupi na kuondoka kurudi Marekani anakoishi baada ya hali ya Mdogo wake kuimarika.