Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hali Ngumu! T-Pain Afilisiwa

Tpain11 Faheem Rasheed Najm 'T-Pain

Mon, 15 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Faheem Rasheed Najm @tpain ambaye mshindi wa Tuzo mbili za Grammy, ameingia kwenye hali ngumu ya kiuchumi hadi kufikia hatua ya kufilisiwa gari yake aina ya Rolls Royce yenye thamani ya dola 400,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni mia tisa.

T-Pain alipost kipande cha video katika ukurasa wake wa mtandao wa Instagram, ambapo anaonekana kuzungumza na dereva wa roli aliyefika kulichukua Rolls Royce hilo, huku akiambatanisha na maneno yaliyoashiria kutokuwa sawa kiuchumi.

(Ikiwa una mtu anayeangalia pesa zako, hakikisha kuwa una mtu anayezitazama pia. Habari njema ni kwamba, nimekuwa hapa kabla na najua jinsi gani naweza kurudi tena kwa kishindo) Aliandika T-Pain.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live