Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja - Wema Sepetu

Whozu Akiri Kupewa Hifadhi Na Wema Sepetu Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja - Wema Sepetu

Mon, 13 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii nguli ya Bongo Movies, wema Sepetu amesema kuwa hakuna mwanaume ambaye anaweza kuvumilia kuwa na mwanamke mmoja tu kwenye mahusiano, badala yake asilimia kubwa ya wanaume huwa wana wapenzi zaidi ya mmoja.

Wema kwa sasa yupo kwenye mahusiano na msanii wa Bongo Fleva, Whozu na haijajulikana kauli ya Wema ilikuwa ikimlenga mpenzi wake ama aliitoa tu kwa wanaume wote.

"Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja, hiyo ndio asili yao hata asipokuwa nae leo lazima kesho atakuwa na mwanamke zaidi ya mmoja, ukweli mchungu," amesema Wema Sepetu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live