Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Hakuna handsome boy kama mimi" - Chidi Benz

BENZ "Hakuna handsome boy kama mimi" - Chidi Benz

Tue, 16 Jun 2020 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa HipHop Chidi Benz amepiga stori na eNewz ya East Africa TV ambapo amefunguka mambo mawili yakiwemo muonekano wake wa sasa pamoja na sapoti anayoipata kutoka kwa watu na vyombo vya habari kama East Africa TV.

Akizungumzia sapoti ya East Africa TV Chidi Benz amesema "Tangu nimeanza kufanya vitu vyangu mwenyewe naona vinaenda, vinatokea na vinakua, napata msaada kwa watu kadhaa na wanasifia naishukuru East Africa kwa sababu vyombo vingine vinanisikilizia lakini East Africa haijawahi kuwa hivyo, heshima kwa dada yetu Regina"

Kuhusu upande wa muonekano wake wa sasa Chidi Benz amesema, hakuna msanii wa HipHop "handsome boy" kama yeye kwa sababu anavutia kwa kina dada.

"Hakuna handsome boy kwenye HipHop kama mimi, sura haijakataa ila nahisi mwili ndiyo umekataa ila sura imetangulia, halafu mimi navutia kiuhalisia tangu muda mrefu, dada zangu wananiambia u-gangster wanaiona wengine ila wao wananiona handsome boy mmoja na Gentleman"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live