Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hakuna dawa ya kutibu ugonjwa wa Celine Dion

Celine Dion C Celine Dion

Sat, 5 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dada wa mwanamuziki Céline Dion, Claudette ameweza kufunguka kwa mashabiki taarifa kuhusu afya ya mwimbaji huyo huku akipambana na ugonjwa adim wa Stiff Person Syndrome (SPS), ambao ni hali adimu ya neva wenye sifa za ugonjwa wa autoimmune.

Dada huyo Amefichua kwamba "hawawezi kupata dawa yoyote" ya kutibu ugonjwa huo lakini anasema "kuwa na matumaini ni muhimu."

Mwimbaji huyo wa Kifaransa wa Canada mapema mwaka jana aliwaambia wafuasi wake zaidi ya milioni 5 wa Instagram hali hiyo inamfanya misuli yake ikaze bila kudhibitiwa.

Pia imemfanya kuwa na ugumu wa kutembea na kuimba, alisema, akimaanisha kuwa hataweza kushiriki maonesho yaliyopangwa nchini Uingereza na Ulaya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live