Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Hakimi sasa adai nusu ya utajiri wa mkewe

Hakimi Yt.jpeg Hakimi

Sun, 16 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kufuatia Mahakama kudai kuwa nyota wa PSG, Achraf Hakimi ni "kachala" asiye na chochote cha kugawana na mkewe baada ya talaka, sasa staa huyo amegeuza kibao anataka yeye ndiye alipwe na aliyekua mkewe Hiba Abouk baada ya kutalikiana.

Hiba Abouk Mwanamitindo wa Hispania na mtalaka wa Hakimi ana utajiri wa $5M sawa na TZS 12 Bilioni.

Hakimi amedai kuwa baada ya talaka amebaki bila kitu, hivyo anaiomba Mahakama imuelekeze aliyekua mkewe amgawie nusu ya utajiri wake ambao ni $2.5M sawa na TZS 6 Bilioni. Nyota hao wawili walioana mwaka 2018, na wana watoto wawili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live