Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Haji Manara amvaa Rushaynah

Manara Na Rushyna Haji Manara amvaa Rushaynah

Mon, 8 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Rushaynah kutajwa kutupa dongo kwa Haji Manara kuwa ameshindwa ku move on ndio kwake mdau wa soka Tanzania Haji ameandika ujumbe unadhaniwa kuwa ni jibu kwa Rushaynah.

Haji Manara ameandika;

"Hebu tukubali Wakati wa wenzetu kama zama zako zishapita!! Kiki za kutaka kutrend kinguvu kwa kutumia mgongo ule ule zishakwisha, By the way ungekuwa unapendwa usingeachwa ulale kwa mashoga na marafiki ,ungepangiwa hata chumba kimoja cha Uani kinole uyastiri Majuba yako ya buku buku"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live