Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Haitham Kim alazwa ICU

Haitham Kim Haitham Kim alazwa ICU

Thu, 31 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Haitham Ghazal Seif 'Haitham Kim' amelazwa kwenye chumba cha uangalizimaalum (ICU) katika Hospitali ya Temeke jijini Dar es Salaam.

Akizungumza mume wa Msanii huyo @niiteboshen amesema kuwa Mke wake mpaka sasa anasiku 7 akiwa amelazwa katika hospitali hiyo akiwa na hali mbaya huku gharama za matibabu zikiongezeka kila siku.

Kwa yeyote atakayeguswa na kumchangia msanii huyo

Namba: 0789635800

Jina: Bryson Peter Mtei (Mtu wake wa karibu).

National Bank of Commerce (NBC) account 011174034416 (Haitham Ghazal Seif).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live