Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

HATIMAE HARMONIZE NA ANJELLA WAKUTANA USO KWA USO

Harmonize 2?fit=800%2C445 HATIMAE HARMONIZE NA ANJELLA WAKUTANA USO KWA USO

Sun, 10 Jan 2021 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Siku za hivi karibuni msanii nguli kutok nchini Tanzania Harmonize alitangaza kutafuta mwimbaji wa kike ili amshirikishe kwenye ngoma yake na baada ya mapendekezo ya watu alitangaza kumtafuta mwimbaji wa nyimbo za kurudia ‘Cover’, aitwaye Anjella na alifanikiwa kumpata.

Jana Anjella alifika katika ofisi za Konde Gang akiwa na mzazi wake na hapo ndipo walipoonana uso kwa uso na Harmonize.

Wawili hao walipata nafsi ya kuongea na baada ya hapo Harmonize alimuomba Anjella aimbe angalau nyimbo mbili cover anazoimba na alifanikiwa kuimba ngoma ya Ruby lakini harmonize alimuomba aimbe nyimbo yoyote ya Nandy na alifanya hivyo.

Chanzo: zanzibar24.co.tz