Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#HAPATOSHI: Mange amlipua vibaya Zuchu 'acha kumng'ang'ania Diamond

Mange Na Zuchu #HAPATOSHI: Mange amlipua vibaya Zuchu 'acha kumng'ang'ania Diamond

Fri, 25 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanaharakati na bloga Mange Kimambi amemlipua vibaya msanii wa Bongo Fleva Zuhura Othman 'Zuchu' kwa kumuambia aache kumng'ang'ania Diamond.

Huu hapa waraka wake;

"Eti Zanzibar, Zanzibar ingekuwa issue si ungekuwa ushaolewa hadi sasa? 2 years now unapigwa... (maneno makali) tu kama wenzio waliopita.

Zanzibar kungekuwa kwa maana ungekuwa umemtuliza bwana, Ila sasa hivi ndo kama katiwa pilipili kwenye kichululu chake. Eti wameng’oka watu wazito, wewe hujang’ota sababu umewazidi wenzio wooote king’ang’anizi.

Uliwahi sikia mwanamke gani wa Dai kavunja matv zaidi yako wewe???? Wenzio waliondoka kabla ya kufika steji hiyo ya kuvunja vitu, ila wewe ulivyo spycho kuliko urudi kwenu kuna siku isiyo na jina utampiga visu yule kijana.

That’s how desperate you are. Umeanza na kuvunja mavitu kuna siku utampiga visu au kuchoma nyumba moto. Maana wewe king’ang’anizi.

Tanasha alivyoona matukio yamezidi alibeba mwanaye kimya kimya akarudi kwao. Hakufukuzwa na mtu. Zari alivyochoka matukio alisalenda mwenyewe akakimbilia BBC, wewe matukio yamekufika shingoni ila umeng’angana kumpikia bwana visheti na kuvunja TV ila kuchukua virago urudi kwenu kama wenzio hudhubutu.

Wewe unaweza hata using’oke maaana wewe ni king’ang’anizi plus plus na ndo maana nilikuita kwa App nikakupa story ya yule mnywa gongo kiroho safi tu……

Muone umevunja ma tv kina Babu Tate wamekuchargi 200 million ya uharibufu na bado uanendelea kumkatia bwana kiuno, unadhani mzima wewe. Wewe ni desparate."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live