Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

H.Baba kutoa ng’ombe 5 kwaajili ya harusi ya Diamond na Zari

671 Hbba.png TZW

Wed, 27 Dec 2017 Chanzo: bongo5.com

Msanii mkongwe wa muziki, H. Baba ametoa ofa kwa Diamond pindi atakapoamua kufunga ndoa na Mama watoto wake, Zari The Bosslady.

Muimbaji huyo alipost picha ya wawili hao wakiwa pamoja na kuwamwagia sifa kwamba watapendeza zaidi wakiingia kwenye maisha ndoa.

 

“Mnyama #Mmependezana #Mnaendana Allah Awasimamie #Ndoa Ifungwe Awe wako kwenye hesabu ya MWENYEZI MUNGU #Ntatoa #Ng‘ombe (watano 5) wakubwa kabisa. wakisukuma #waletwe #DAR #Huondio Uwezo wangu nahicho ndicho nitajaaliwa na MWENYEZI MUNGU #NakutakiaMaandalizi Mema ya NDOA Yako #Hongerenikwakupendana 

Chanzo: bongo5.com